Qiraa | Qari Alireza Rezaei akisoma aya za Qur'ani za Surah Az-Zumar
Sauti ya usomaji wa aya za 61 hadi 70 kutoka Surah Az-Zumar, pamoja na aya za 1 hadi 7 kutoka Surah Al-A‘la, kwa sauti ya Alireza Rezaei, qari wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu inawasilishwa hapa kwa wanaofuatilia tovuti ya IQNA. Qiraa hii ilirekodiwa katika katika mkusanyiko wa kiroho uliofanyika katika haram tukufu ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.